New
Kama ulikuwa ujui TOP 15 za social network(mitandao ya kijamii) Duniani basi wacha nikujuze mtuwangu,NINA RECORDS TOP 13 ZA FEB 2014 ambapo  facebook iliongoza ,ikifuatiwa na twitter,google plus,myspace,linked in,orkut,friendster,hi5,bebo,netlog,badoo,perfspot na zorpia. NA TOP 15  APRIL 2015 , Facebook ikiwa bado ya kwanza ikifuatiwa na twitter, linked in,pinterest,Google plus,tumblr,instagram,vk,flickr,vine,meetup, tagged,ask.fm,meetme na classmets
RECORDS ZA FEB 2014
ROCORDS ZA APRIL 2015
kama zilivyopangwa kwa kwenda chini 
 
       
    
 
 
          
      
 
  
 
 
 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
TUAMBIE