Jumatatu, 6 Aprili 2015

HAKUNA KAMA DIAMOND PLATZ

Pamoja na muda wote toka awee juu sehemu mbalimbali katika muziki inasemekana kuwa nyimbo zake hazipotezi ubora na kuzidi kuwa vutia watu wanao sikiliza nyimbo hizo.Hii inathibitishwa na kitendo cha mashabiki hasa nje ya Tanzania kuzikubali nyimbo za mwanzoni kabisa kama nyimbo ya kamwambie na Mbagala

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

TUAMBIE

Theme Support