Mzee aliye na watoto 70 na wajukuu 300 Tanzania
Nchini Tanzania katika mkoa wa Arusha wilayani Monduli, 
mzee mwenye zaidi ya miaka 100 ana watoto zaidi ya 70 na wajukuu 300.
Mzee
 Meshuko Ole Mapi, almaarufu Mzee Laibon, amelazimika kuwa
 na shule yake
 na soko kwa ajili ya jamii yake hiyo na anasema bado 
ana azma ya 
kuendelea kuoa,Watu kutoka mataifa mbali
 mbali hufika kumtembelea mzee huyo kama sehemu ya utalii.
Na Mwandishi wa BBC Esther Namuhisa alimtembelea mzee 
huyo Kaskazini mwa Tanzania.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
TUAMBIE