Ndege zisizo na marubani kubeba abiria 'kufikia 2020'
by
HILARY MEDIA
on
12:04
Kampuni moja ya Israel imesema ndege
isiyokuwa na rubani, ambayo ilikamilisha safari yake ya kwanza kabisa
ikipaa juu ya maeneo tambarare mwezi Novemba, huenda ikaanza kutumika
rasmi kufikia 2020.
Ndege hiyo imeundwa na kufanyiwa kazi kwa
kipindi cha miaka 15, lengo likiwa kutumika katika juhudi za uokoaji au
shughuli za kijeshi.Ndege hiyo ambayo inafahamika kwa sasa kama