Jumatano, 5 Oktoba 2016

TECHNOLOGY

by on 21:29


Kuna aina mbalimbali za kudownload mafile kama kutumia torrents, kutumia file sharing sites kama mediafire, ku-capture video za online nk lakini aina zote hizo hazifikii kudownload file direct. Nikisema direct namaanisha ukiclick tu file linaanza kudownload bila msaada wa software yoyote au kusubiri.
Njia hii pia ni maarufu kwa wale wanaotumia proxy, au internet zenye restriction ya kudownload torrents na kustream, hapa nimejaribu kutafuta site ambazo utadownload directs bila matatizo yoyote.



SOCIAL HALL

Kudownload movies na series
Kama unataka kudownload movie na series bila longo longo website ni hii hapa
tumia hii hapa movie
Index of /Masih/Film/


-animation hapa
Index of /admin/Animation/
-top 250 movies hapa
Index of /admin/250-IMDB/
-series hapa
Index of /TV.Show/

Utaclick serial kama ni series na film kama ni movie
link nyengine ya movie
Index of /Film/
na series
Index of /Serial/

Kwenye movie kuna miaka kama unajua mwaka movie iliotoka utaclick na pia kuna collection ya movie zenye parts, mfano home alone kuna part 1 hadi 5

link nyengine ya movie kama za juu zinasumbua
Index of /Data/Film/

link nyengine za movie na series s1.dl-movie.ir - /Serial/ Index of /Data/


Kudownload games
hapa ni oceanofgames, even games kama gta v unalipata kwa single link na ma gb yake yote.

Ocean of Games

Kudownload software za PC
ukitaka operating systems, software za 3d, photoshop nk utazipata hapa
Get Into PC - Download Free Your Desired App

Apps na games za android

Jumatano, 21 Septemba 2016

HABARI ZA ULIMWENGU

by on 14:26

Mzee aliye na watoto 70  na wajukuu 300 Tanzania

Nchini Tanzania katika mkoa wa Arusha wilayani Monduli, 
mzee mwenye zaidi ya miaka 100 ana watoto zaidi ya 70 na wajukuu 300.
Mzee Meshuko Ole Mapi, almaarufu Mzee Laibon, amelazimika kuwa
 na shule yake na soko kwa ajili ya jamii yake hiyo na anasema bado 
ana azma ya kuendelea kuoa,Watu kutoka mataifa mbali
 mbali hufika kumtembelea mzee huyo kama sehemu ya utalii.
Na Mwandishi wa BBC Esther Namuhisa alimtembelea mzee 
huyo Kaskazini mwa Tanzania.

 

Ijumaa, 9 Septemba 2016

SIMU MPYA YA IPHONE 7

by on 15:35

SIPENDI UWE NYUMA NA TECHNOLOGY CHEKI SIFA ZA iPhone 7 ......

Sorce bbc swahili ;

fisa mkuu mtendaji wa Apple Tim Cook alizindua iPhone 7 katika jimbo la California
Kampuni ya Apple imethibitisha kwamba simu yake mpya ya iPhone haitakuwa na tundu la kawaida la kifaa cha kusikiza sauti, ambacho kwa Kiingereza hufahamika kama headphone.
Simu hiyo ya iPhone 7 badala .......

Alhamisi, 8 Septemba 2016

Jumanne, 6 Septemba 2016

Theme Support